Leo nitajaribu kueleza mojawapo ya LABELS unazoziona katika packets ya bidhaa unayonunua hasa ya chakula labels ya BAR CODES ina umuhimu gani kwako au inakupa taarifa gani muhimu kwa wewe mnunuaji wa bidhaa
Wengi wetu tumeshazoea kuwa vyakula vinavyoongeza miili ya wanyama na vile wanavyowapa kuku wakueaa haraka ndani ya siku 45 wawe tayari kwa ajiri ya nyama wengi wanatoka CHINA lakini hiki si kigezo cha kila chakula hicho kinatoka huko je kama kimetoka TAIWAN? Utatofautishaje chakula kilichotoka TAIWAN au CHINA?
Ingawa mambo kama haya mamlaka husika inapaswa kuwaeleza watu wake
Cha muhimu tunaangalia namba tatu za mwanzo katika BAR CODES hizo ndizo zitakazosaidia kujua iyo bidhaa imetengenezewa nchi gani ukiona namba tatu za mwanzo hivi
890……imetengenezewa INDIA
690, 691, 692 … imetengenezewa CHINA

00 – 09 …………… USA and CANADA
30 – 37………….………..UFARANSA
40 – 44………..………….UJERUMANI
471……….………….….. Taiwan
49 ……………….…….…. JAPAN
50 …………………….….UINGEREZA
INGAWA kwa sasa wafanyabiashara wa kichina wameanza kutokuonesha LABEL hizi kwa kuwa watu wameanza kutoziamini Bidhaa za kichina andiko jingine nitaendelea kuzielezea zaidi na namna ya kununua bidhaa hizi kwa kutumia BAR CODES kwa kuwa inamatumizi makubwa sana
Comments
Post a Comment