naam ukiachana na
njia ile ya kawaida unapoiwasha computer yako inaonesha jina lako njii hii ninayoenda kuelekeza ni kuwa
unapowasha computer yako inatamka jina lako
naam fata maelekezo haya kiumakini zaidi
hatua a kwanza
kabisa tafuta program iliyokatika computer yako inaitwa NOTEPAD
CLICK ON START
nenda kwenye ALL PROGRAMS kisha itafite
NOTEPAD utaipata fungua kisha copy na upaste code hizi
"Dim speaks,
speech speaks="Welcome to your PC, Username" Set
speech=CreateObject("sapi.spvoice") speech.Speak speaks"
hizo alama za
fungua semi na funga semi usiziweke nazo
nimeweka ili ujue manene yalio kati ya hizo semi ndio unaoaswa
uyatumie
haya sasa ukimaliza SAVE file hilo
angalia hapo juu ya notepad yako
kuna sehemu imeandikwa FILE bonyeza hapo kisha angalia neno lilioandikwa SAVE
AS bonyeza hapo kisha andika
"Welcome.vbs" kisha save
kumbuka filr hilo umesave wapi
litafute uliposave hilo file kisha copy file hilo kisha fata hatua hizi
tena
nenda kwenye
LOCAL DISC(C) nitatumia alama hii ya ">" kama namna ya kufata file
linalofuata okay tunaanza
in WINDOW XP
LOCAL
DISC(C)>Documents and Settings>All Users>Start Menu>Programs>Startup
(in Windows XP)
(in Windows 7 and
Windows Vista)
C:>Users>
User-Name>AppData>Roaming>Microsoft>Windows>Start
Menu>programs>Startup
ukifika jatika
hatua ya mwishi apo katika file la start up fungua kisha paste lile file la
mwanzo ulilicopy yaani la" welcome.vbs"
hapo utakuwa
umemalizaa kabisa utakapo washa computer
yako kwa maa yingine utasikiaa sauti ya jina lako ili uweze kukamilisha hatua
zote unabidi uende kuhakiki ili sauti
zisiingiliane unachotakiwa kufanya nenda kwenye CONTROL PANEL hii unawezaa
ipata kwa kubonyeza START UP button
kisha search control panel utaionaa
ifungue telemka chinimpaka uone sehemu
ilipoandikwa sounds wakati mwingine imeandikwa sounds and audio kisha fungua
apo angalia kwa umakini apo utaona kuna
sehemu imeandikwa SOUND SCHEME angaliaa apo
kama chunu yake pameandikwa WINDOWS DEFAULT hakikisha umebadili umeweka NO SOUNDS
ukimaliza save kufikia hapo
utakuwa umeshamaliza
Comments
Post a Comment