fahamu namna ya kucheza games lenye high graphics ukiwa na pc yenye low graphcs




kama tujuavyo games nyingi zinahitaji uwe na hardwares zenye uwezo wa juu zaidi ili uweze kulicheza  wengi wenu hamuwezi kucheza games zenye high graphics labda mpaka uwe na computer yenye uwezo mkubwa zaidi   games kama GTA V. Call of duty inahitaji uwe na memory kubwa na processor nzuri pamoja na graphics cad nzuri pia katika andiko hili nitaelezeaa software moja inaitwa »SWIFTSHADER« ambayo ni gaphic card emulator
Image result for SWIFTSHADER

hii softaware inakuwezesha kuweza kucheza games katika computer yako ambayo bila kuwa na hii hauwezi ukachezaa games kutokana na kutokukizi vigezo za game hilo

UNAWEZA UKAWA UNAJIULIZA emulator hiyo inafanya kazi gani??

emulator hii inafanya kazi ya kupunguza ubpra wa gemu hilo ili uweze kulichezaa kwenye computer yako hiyo yenye uwezo mdogo wa graphics

NAMNA YA KUITUMIA
unachotakiwa kufanya ni kudownload file hilo kupitia hii link »»» DOWNLOAD HEREl«« kumbuka file hili  lipo kwenye ni aina ya rar  hivyo unapswa uliconvert ulibadili extract kisha ufungue utakuta kuna file mbili zimo zilizoandikwa   » 32 na 64«         kutegemeaa na window yako kama ni 32 au 64  bonyea kati ya file hizo kisha zicopy folder zilioandikwa hivi »d3d9.dll and swiftshader.ini  « kisha nenda kazipaste kwenye folder maalum kwa ajili ya games

hilo files la games ndipo ulipoenda kulisave games hilo fika fungua file hilo kisha paste hizo foldef ulizozita hapo juu

kumbukaa

ukiwa na computer yako yenye ram yenye gb 2 game hilo linaweza kuchezeka likiwa na speed ya 14-20fps .. ukiwa na yeye 1gb ram speed yako inawezaa kuwa ni  4 mpaka 8 fps   kama unataka uchezee vizuri game katika ram ya gb 1 au 2 unapaswaa upunguze ubora wa graphics na resolution yake pindi tu  unapoliwasha games hilo hii inakubalika sana uidownload software hiyo hapo juu niliyokuelezaa    shader model 3.o graphics game

Comments