fahamu trick hizi usizozijua kuhusu ka watumiaji wa facebook





naaam watumiaji wa facebook mara nyingi si wafatiliaji wa tick mbalimbali za mtandao wa facebook ningependa leo kuonesha baadhi tu nitaendeleaa kuzileta hapa nikizijaribu na kuonesha kufanya kazi ni rahisi sana tunaanza na hii

1.  kuweka status yako iwe na muonekano wa rangi ya blue
unachotakiwa kufanya ni kucopy hizi code na upaste kisha uondoe hizi alama za kujumlisha

@[+1: ]@+@[+1:[0:1: Type your text here]]





2.  fahamu namna ya kutehgeshea ikifika muda fulani status uliyoiandika ijipost yenyewe  


unachotakiwa luganya ingia kwenye account uako ya facenook kishaa  nenda kwenye link hii  wawezaa bonyeza hapa »>  http://laterbro.com/.««

ukibonyeza link hiyo itafunguka kisha angalia palipoandikwa facebook   kisha chagua time zone ya eneo lako kisha bonyezaa next kishaa ndika status yako sasa unayotaka ikifika muda flani ijipost kisha chagua tarehe na muda wa ststus hiyo ili ijjipost ukimalizaa bonyezaa schedule button



3.   weka status yako ikiwa na alama (symbol)
ni jambo la kufarahisha sana unapoweka status ikiwa na icons ingawa facebook haina alama hizo unchotakiwa kufanyaa nendaa kwenye link hii kisha uchague symbol unayotaka kuiwekaa status »» Http://fsymbols.com/all/ «<


4. atakaebonyeza link hii impelekee kwenye profile yake mwenyewe

»» http / facebook.com / profile.php? = 73322363 ««

5.  angalia satus za facebook katika muonekano wa 3D
(kwa wanaotumia google map nadhani muonekano wa 3D wanaujua yaani waweza angalia kila upande wa eneo unalolataka kwa kugeuza kila upande)

unachotakiwa kufanyaa nenda kwenye link hii »» https://apps.facebook.com/statusanalyze_fb/ ««


6. download album nzima ya picha kwa mara moja tu
(hakuna haja ya kila picha unadownload hii unachaua album kisha unabonyeza mara moja picha zote zilizokwenye album hiyo utakua umeshazidownload) kumbuka unabidi uchague eneo utakalo tunza picha hizo kabla ujathibitisha    unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye hii link

»»www.facebook2zip.com «<

Comments