leo ninakueleza
namna ya kuweza kutumia apps aidi ya moja bil kuizuia app nyingine kufanya kazi
hii ni kwa watumiaji wa simu za android mfano umefungua app ya facebook muda
huo huo unamengua app ya whatsapp kama ujuavyo ukifungua app zaidi ya moja app
unayoitumia ndio itakua inafanya kazi huku zile zingine ambazo umefungua kisha
ukaacha kuzitumia kwa mua huo zitakua zimeacha kufanya kazi mpaka tena urudi ukazifungue basi leo ninawaeleza
namna ya kutumia apps zote ulizozifungua bila kuzuia app nyingine kufanya
kazi
hizi hapa ni
hatua za kufata kwanza kabisa nenda playstore kisha tafuta app ilioandikwa
SWAPPS
idownload kisha
install
anza kuitumiaa
app hii inakuwezeshaa kuziona app zote katika screen yako huku ikiruhusu zote
kutumiak bila kuizuia nyingine inamwonekano mzuri sana
Comments
Post a Comment