wapenzi wawili
walipoteza mtoto wao mwenye umri wa miaka 25 kwa ajali ya moto alipokua
kwao kijana huyu alikua anatarajia
kuhitimu wa shahada ya pili ya biashara katika
chuo kikuu cha Wisconsin-Madison wiki mbili kabla ya ajali hiyo kijana
huyo alirejea nyumbani kupumzika kwa masaa
kadhaa ili arejee chuo kufanya usafi katika chumba alichokuwa anakaa
kama maandalizi ya kuhitimu chuo hapo ingawa hakumkuta mama yake muda huo
nyumbani mzee wake alimuambia amsubiri mpaka atakaporejeaa kutoka kazini mida
ya usiku kijana aliamua kwenda kupumzika katika chumba chake.....
. masaa kadhaa
yalipita jirani aliekuwa karibu na nyumba hiyo aliona moshi mzito ukitoka
katika moja ya chumba katika nyumba hiyo ndipo akaamua kutoa taarifaya dharula
kwa kupiga simu 911
watoa huduma ya
dharula walipofka katika uokoaji walikuta tayai kijana aliekuwa katika nyumba
hiyo ameshakufa... Askari walifanya
uchunguzi takibani wiki mbili kubaini chanzo cha ajali hiyo ya moto walikuja
kugundua kuwa kijana huyo alilala kitandani pamoja na laptop yake usingizi
ulipompitia hakujua kilichoendeleaa FAN iliyondani atika laptop yenye kazi ya
kuipooza ilikosa hewa ya kuipoza laptop hiyo ndipo iliposababisha moto kutokea
ndani ya laptop hiyo kijana hakuweza kugundua kilichotokea kwa sababu alivuta
hewa ya CARBONMONOXIDE iliyokuwa inatokandani ya laptop hiyo iliyokuwa inawaka
moto
sababu
iliyonifanya kuandika habari hii hapa nimesoma habari nyingi zikihusisha ajali
za namna hii kwa watumiaji wa computer hasa laptop nawashauri wakubwa kwa
wadogo familia marafiki pia kaka na dada
msitumie laptop mkiwa kitandani zikiwa zimegandamizwa na mashuka mazito,blanket
na pilo jizoeshe kutotumia laptop katika
hali itakayosababisha laptop kukosa hewa ya kuipoza
Comments
Post a Comment